TuneDem Band - At The Cross { Sioni Haya Kwa Bwana }

Msalaba ndio asili ya mema, Nikatua mzigo hapo; Nina uzima, furaha daima, Njoni kafurahini papo. Sioni haya kwa Bwana Kwake nitang’ara! Mti wake sitakana, Ni neno imara!
Back to Top