Mama aliyeangaziwa na runinga ya Citizen apatanishwa na familia yake

Runinga ya citizen imemkutanisha mama aliyepotea kwa miezi mitano na familia yake. Baada ya taarifa hiyo kupeperushwa hapo jana, jamaa zake walifululiza hadi kituo cha kuwasitiri wanawake waliodhulumiwa na kumchukua. Kama anavyoarifu mashirima kapombe, joan alitiririkwa na machozi alipowaona wanawe.
Back to Top