NINAIMANI Elphine Gwandika ft Banjiman (Official)4k Director Banjiman +255 688184191
#NINAIMANI
napokea mialiko 255 652643450
Mungu ni Mungu asiye shindwa na jambo lolote nina imani nae. Mpendwa wa Mungu huu ni ujumbe alionipa Mungu hakika nina imani na Yesu wangu ungana nami kusikiliza na kutazama wimbo huu NINAIMANI. Nimeshirikiana na Producer na Director wangu Banjiman na ninashukuru kwenye Video yupo mwana dada Vannesa katupigia Guiter kwa kiwango kikubwa sana na ukivutiwa nae kwa utendaji wake wa kazi namba zake ni 255 752207728 What’sApp. Pia nitoe shukrani nyingi kwa kampuni ya B O G Production kwakunibeba hadi kufikia kiwango cha wimbo huu kusikilizika na kutazamwa kama hivi, ahsate sana Director Banjiman.
1 view
416
124
2 years ago 00:04:51 1
NINAIMANI Elphine Gwandika ft Banjiman (Official)4k Director Banjiman +255 688184191