Natacha - LAMGAMBO (Official video)

LAMGAMBO Lyrics Bebe nakwitaaa ( KAMKAMKAM KAMKAMKAM ) Ukowapi njoo fasta Eeh ( NJOO NJOO NJOO NJOO ) ___________,,,,,,,,_________ Mimi apa nakupenda Ukiniacha wee sina pakwenda Basi njoo hapa tupeane denda Moyo unakwenda speed zaidi ya kalenda Limelia ilooo “ Limeliaaaa ( LAMGAMBO ) Limelia iloo “ Limeliaaaa ( LAMGAMBO ) Lamgambo likilia basi ujue kuna jambo ( JAMBO ILO,, JAMBO ILOO ) Siunajua nakuzimia Kuja tuyafanye mambo ( MAMBO HAYO,, MAMBO HAYOO ) 🎼🎼🎼🎼🎼🎼🎼🎼🎼🎼🎼🎼🎼🎼🎼🎼🎼🎼 🎶🎶🎶🎶🎶🎶🎶🎶🎶🎶🎶🎶🎶🎶🎶🎶🎶🎶 Bebe nakwitaaa ( KAMKAMKAM KAMKAMKAM ) Ukowapi njoo fasta Eeh ( NJOO NJOO NJOO NJOO ) ___________,,,,,,,_______
Back to Top