NIPO NYONYO
Shamba la babu , nalima
Nivune muhogo na shina
ni weh
Tambarale mwa milima
Kufika kilele lazima
Bridge:
Nilishathubutu kupenda nisipopendwa
Lakini siachi, ooh siachi
Msumali wenye kutu nilichomwa nkapata donda
Lakini siachi, ooh siachi
Nilikondeana nashukuru hivi sasa mashallah
Mambo mwanana,
nimesitirika hewalah
Nimelipata bwana
Lakunidekeza nalala
Tumeridhiana sina
Muda wa kum chiti wala
Eeh
Chorus:
Nipo nyonyo
Nipo titi
(Aah nimejaaa tele)
Nalishwa vinono nipo fiti
(Aah, nimejaa tele)
Aaah
Nipo nyonyo , nipo titi
(Aah nimejaa tele)
Nalishwa vinono
Nipo fiti
(Aah nimejaa tele)
VERSE 2
Sitaki chupa ya soda baby niletee energy
Wajue upo na mimi watumie meseji ah
Mi hoi lege lege
Nitupie kwa bedi
Kabisa n’garagaze,
Mpaka ni dead
Bridge:
Nilishathubutu kupenda nisipopendwa
Lakini siachi, ooh siachi
Msumali wenye kutu nilichomwa nkapata donda
Lakini siachi, ooh siachi
Nilikondeana nashukuru hivi sasa mashallah
Mambo mwanana,
nimesitirika hewalah
Nimelipata bwana
Lakunidekeza nalala
Tumeridhiana sina
Muda wa kum chiti wala
Eeh
Chorus:
Nipo nyonyo
Nipo titi
(Aah nimejaaa tele)
Nalishwa vinono nipo fiti
(Aah, nimejaa tele)
Aaah
Nipo nyonyo , nipo titi
(Aah nimejaa tele)
Nalishwa vinono
Nipo fiti
(Aah nimejaa tele)
Boomplay:
Audiomack:
Catch Up With Phina On:
Instagram:
Facebook:
Twitter:
#Uponyonyo #phina #Upotiti
1 view
8
5
7 days ago 01:54:06 1
IMA: Artificial Intelligence And Its Influence On Research/Investigation
2 weeks ago 00:00:18 1
GP20 pro 48,000mah Portable Power Bank for Camping Fishing
2 weeks ago 00:02:03 1
Cameroon Farmer Unloads Imported Seed Potatoes | Partner With Us!
3 weeks ago 00:25:29 1
Взял ДИКИЙ😱 СМАРТФОН на 1Tb с AMOLED и выбросил XIAOMI и SAMSUNG! ДРУГИЕ СМАРТФОНЫ НЕ НУЖНЫ?
3 weeks ago 00:04:02 1
Rainbow - I Surrender (Official Video) Remastered Audio UHD 4K
4 weeks ago 00:03:37 1
Silence Is Sexy: Focal Bathys Hi-Fi Noise-Cancelling Headphones That Flex Harder Than Your Ex - YouTube
4 weeks ago 00:03:19 1
MagFone Location Changer V2.1 Guide: Spoof GPS on Any App Safely
4 weeks ago 00:15:09 1
The SECRET that NOKIA Manufacturer Doesn’t Tell You That Their Old Phone Can Do This
1 month ago 00:03:41 6
ЧУЧА-ЧАЧА [2022] - PERFAM KIDS /веселая песня, танец-игра для детей. Танцуй вместе с Super Party!
1 month ago 00:03:53 181
250411 LISA (BLACKPINK) - Lifestyle (Live at Coachella 2025)
1 month ago 00:02:51 1
computer hardware networking course | desktop no display problem | done by student thanush
1 month ago 00:06:02 1
how to mobile back light section fault finding | redmi note 5 pro | mobile repairing course
1 month ago 00:03:39 1
Print Like a Boss Anywhere: HP’s Tiny Tank with Big Attitude & Bluetooth Bragging Rights! - YouTube
2 months ago 00:03:30 1
The Ultimate Military Smartwatch: Tougher Than Your Workout, Smarter Than Your Phone! - YouTube